Recent content by above metal04

  1. above metal04

    Nauza Xbox one used bei nafuu

    Naomba namba mkuu tuongee
  2. above metal04

    Nauza Xbox one used bei nafuu

    Mkuu Pm inagoma ili tuongee
  3. above metal04

    UZI KWA AJILI YA 'MATOZI'

    Matozi ndio nani?
  4. above metal04

    Tangu nimuone mara ya kwanza hajawahi badili nguo

    Hii system IPO kwa wengi matajiri kwa mfano mmiliki wa Facebook style yake ya kila siku ni flana ya kijivu na jeans ya blue. Hii ni kuokoa muda mwingi kuchagua Nini cha kuvaa. Yeye binafsi mark zuckerberg alisema alikuwa anapoteza muda mwingi akichagua Nini cha kuvaa so akaamua yeye wodrobe...
  5. above metal04

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Mkuu afrika sidhani kama ni IDD AMIN pekee alifanikiwa kupata cheo hiki. Egypt wapo kama Zaidi ya tank.
  6. above metal04

    Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

    Omba kazi ikulu , kuna nafasi ya tuition kule..
  7. above metal04

    Vita vya Syria na hatari ya kuzuka vita vya tatu vya dunia

    Mkuu hii history yako mbona ya vijiweni.
  8. above metal04

    Action movie shot in nairobi - noma sana

    Wakenya bana . Reply imebidi nicheke
  9. above metal04

    Vita vya Syria na hatari ya kuzuka vita vya tatu vya dunia

    I don't think mmarekani anaweza kuwapa waasi silaha nzito. Kumbuka kilichotokea alipowaami Taliban huko nyuma ili kupambana na warusi. Mwishowe waasi walimgeuka.
  10. above metal04

    Wolrd top 10 Modern Fighter AirCraft

    Hio kitu na hatari mkuu hadi marekani wamechomoa kuuzia nchii yoyote. Israel, Australia, Canada walikuwa na interest na hii kitu lakini marekani wamechomoa. Instead wameamua kutengeneza F 35 lightning II ndio watauziwa nchii zingine.
  11. above metal04

    Wolrd top 10 Modern Fighter AirCraft

    Mkuu umesahau kuhusu chengdu J20. Hii ndio inalinganishwa na F22 RAPTOR na PAK FA(T50)
  12. above metal04

    Wolrd top 10 Modern Fighter AirCraft

    Worst?? In the current world hakuna any fighter plane more superior to f-22 raptor. And second in comparison ni f-35 lightning II. After that maybe Russian T50 and Chinese chengdu J20
Back
Top Bottom