Recent content by abidemi

  1. A

    Hukumu ya Lissu ni kaa la moto

    Upo sawa kweli kichwani? Soma tena ulicho andika, rudia tena kusoma alafu fumba macho tafakari ulicho andika then muombe mungu akupe mwisho mwema.
  2. A

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Lea huyo mtoto kwa mapenzi kama wako…..!!! Muonyeshe upendo wa baba ajisikie wewe ni baba yake utakuja kuelewa hili somo baadae sana ukiwa kwenye miaka ya 55 na kuendelea usipuuze huu ushauri.
  3. A

    Salamu za Boniface Jackob kwenye Mazishi ya Alute Mughwai Zatikisa, Msiba Wageuka Shangwe kwa muda

    Tuonyeshe nyumba ya wazazi wako kijijini kwenu?!
  4. A

    Mauaji yamezidi Mwanaume ndo anapaswa kuoa mwanamke anayempenda sana msichanganye mwanamke anapenda material sio mtu

    Nani kasema? Wewe ni mwanamke au mwanaume? Acha kujinganya buda mpende mama ako inatosha huyo ndo mwanamke pekee hawezi kukusaliti hawa wengine ushi nao kwa akili
  5. A

    Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Wanaume wenzangu hii tabia yakuweka vitu moyoni bila kuongea itatumaliza. Unakuta mtu analitia changamoto za ndoa hasemi and of time maamuzi yanakuwa kuuwa mwenzi ni ujinga sana” kakushinda rudisha kwao
  6. A

    Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Hakuna mchaga muanifu buda kwenye mapenzi
  7. A

    Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

    Ipo mkoa gani? Anza mazoezi ya kukimbia jitaidi kwa siku sio chini km2 hakkikisha unavuja jasho haswa, kunywa tangawizi nyingi kila siku kwa muda utakao ona ni sahihi!! Hii ya mwisho sasa nitafute nikuongezee kitu sasa alafu utarudi kutoa mrejesho hapa
  8. A

    Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Kwann uliondoka ukamuacha? Inabidi ujipime wewe mwenyewe kwanza maana kuona mamsi wako yupo na buda mwengine na ukasepa iyo ni shida, ungekaa uwone what happened” sasa umepoteza ushahidi man maana umepangwa ni shem wake😂😂😂😂 jikaze we oa huyo binti ni muaminifu kwako.
  9. A

    Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

    Hii kesi nani asiyejua ni kesi ya kisiasa? Na hapo sio kukiri kama kweli sheria itafuatwa akafungwa lissu basi tujiandae wanasiasa wengi kwenda jela!!! Maana zile ni kauli za majukwani…… sawa swali la msingi nani alitishika. Serikali? Vyombo vya usalama? Au nani alitishika na kauli ya...
  10. A

    Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

    Haka kajamaa kamalaya😂😂😂😂😂 yani ukutane na mamsi mchana asubui jioni umkule na huogopi? Znz ni kwa moto sana kwa magonjwa ukienda kichwa kichwa
  11. A

    Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

    Watu wa ccm niwapumbavu sana aise!! Hii kesi yakijinga kuwahi kutokea alafu wewe jamaa upo sawa kichwani kweli??? Mnaacha kujiuliza mambo ya msingi kabisa mnadili na upuuzi huu!! Nyie kama vidume kweli muulizeni mwenyekiti wenu bandari ya dar mkataba uko wapi, na kama kweli mnataka mambo ya...
  12. A

    First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Nakumbuka first date nilimualika dada mmoja ni mrembo!! Alikuja ikabidi nitoke kumpokea nje ya hotel husika ile nafika tu kaniona kanikumbatia kwa nguvu kaanza kulia😂😂😂😂 watu wananishangaa mimi na iyo ndo mara ya pili tunaonana baada ya maongezi ya muda mwingi kwa simu. Aisee alikuwa analia kwa...
  13. A

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Umemaliza buda
  14. A

    Baadhi ya mabosi wengi kudate na wafanyakazi ni mbinu ya kikachero

    Hizo sio skills za uboss buda huo ni umalaya mzee
  15. A

    Naombeni ushauri

    Hapo hamna ushauri maana yote umeeleza mwenyewe. Akili kichwani kwako sasa
Back
Top Bottom