Recent content by a4afrika

  1. a4afrika

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Huyo anajua kitakachompata, tena katika hatari zaidi hao nguruwe wangekuwepo hapo wangeweza hata kumshoot wamuue. Ila jamaa ameshafika mwisho wa uvimilivu wake, na kwa bahati nzuri ni funzo zuri kwa hao wachina, naye amekuwa kama kafara yake.
  2. a4afrika

    Magufuli City kubadilishwa jina na kuwa 'Mji wa Serikali Mtumba' ni mkakati wa wanaCCM mtandao

    Wengine bado tutautambua kama Magufuli City. Yaani bila aibu eti uweke jina la Mtumba City na Magufuli City halafu wewe eti uchague Mtumba, ni aibu ya mwaka. Mngedanganyia hata kuita Tanzanite City, Nyerere, hata Serengeti City kuliko hiyo aibu mtakayoimeza milele kila mtakapokumbuka.
  3. a4afrika

    Mechi ya Yanga na Zamaleki imeshamalizika

    Asubiri maajabu ya mpira, Yanga na Club African wanafuzu Robo Fainali kundi B.
  4. a4afrika

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    I Ikiwa inakupendeza na kufurahisha mimi ni nani nipinge sasa. Na iwe vile inavyokufurahisha.
  5. a4afrika

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    Rejea hoja yake ya Kwanza kisha ujitafakari wewe mwenyewe binafsi ikikupendeza.
  6. a4afrika

    Mjadala wa kwanza wenye dini za Abraham (Ukristo na Islam) dhidi ya wasio nazo na wenye mashaka ulifana sana

    Kuna watu wanaitwa Mungu kwa Majina, hivyo hapa kusema hayupo itakuwa ngumu, maana hata kwetu Mzee Mungu yupo, na hata jana alipita na mbuzi wake kwenda shambani.
  7. a4afrika

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    Sasa msomi wa Masters analilia Mahafali kama watoto wa chekechea, mmehitumu nini huko? Mbona kama mnastahili kunyimwa hayo matokeo!
  8. a4afrika

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii ni utani umetungwa au ni mahojiano ya kweli? "...but I would’ve preferred to discover that on television" 😂😂😂
  9. a4afrika

    Farhan Kihamu amchana vikali mchezaji wa yanga Albert Kangwanda

    Yupo sahihi kabisaa. Kangwanda anacheza kama hana ndoto yoyote, hakamii wala nini. Mpaka tunahisi labda kuna ka mgomo baridi. Hana uchu hata kidogo.
  10. a4afrika

    Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

    Inaweza isiwe Adhabu, lakini Kifo chako kikawa Zawadi kwa wanaobaki. Hivyo watu hawajali juu ya kuwa utaumia ama laa, ila wanachofurahia ni ZAWADI ya kifo chako. TUISHI katika namna ambayo hatutakuwa na hatia nafsini mwetu hata kama kuna watu watachukulia vifo vyetu kuwa zawadi kwao.
  11. a4afrika

    Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

    Masaa 6 ndio muda wa kawaida wa sasa, wakati zamani ilikuwa Masaa 2:30 tu au ma3
  12. a4afrika

    Livestream firing squad execution of Nidal Hasan, Je utaiangalia au utashindwa?

    Kwani wakiwakamata na kukaa kimya wataharibikiwa nini? Maana kwa namna hiyo wanatemgeneza wehu wengine wengi tu.
Back
Top Bottom