Recent content by 7son

  1. 7

    PreGE2025 Ushindi wa kishindo kwa Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utachochewa na mgombea mwenza kuwa Dr. Nchimbi

    Nimefuatilia siasa ya nchi yetu kwa muda mrefu na nimejiridhisha kwa Tanzania ya sasa hakuna mwingine anayestahili kuwa rais zaidi ya Samia Suluhu Hassan. Hakuna yeyote kutoka upinzani anaweza kujilinganisha na Samia kwani rais wetu ni mnyenyekevu, msikivu, ana wivu na nchi yake na ni mpenda...
  2. 7

    KERO Waziri Aweso tusaidie wakazi wa Kawawa road na vitongoji vyake- Wilaya ya Moshi

    Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji. Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la upatikanaji maji limekuwa changamoto kubwa sana kwani maji yanatoka mara moja kwa wiki tena kwa muda...
  3. 7

    Mrisho Gambo ni Hazina kwa taifa

    Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo. Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi...
  4. 7

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Ile abdili iliyosomwa kipindi kile cha Tundu Lisu kushambuliwa halitawaacha watu salama
  5. 7

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Ni ukweli usiopinga kwa spidi ya JPJM Mwigulu ndiye PM sahihi.
  6. 7

    Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Angalien TBC now ucku wa habari
  7. 7

    Yaliyojiri: Mkutano wa Tundu Lissu, Heche, Munishi na Ndesamburo mjini Moshi

    Lissu amfananisha Zitto na Yuda Iskariote....adai alipkea vipande 30 ili aisaliti chama lakini CDM haiko tayari kuning'inizwa msalabani kama YESU
  8. 7

    Nimeamini sasa, dada Saro kapigwa risasi, mama mkubwa kauwawa!

    Acha ukabila ww pole sana Ima....Ufo Mungu akuponye haraka maana bado ana makusudi na ww ...RIP mama mkubwa
  9. 7

    Tamko la Jukwaa la Wahariri kuhusu kufungiwa kwa magazeti ya Mwananchi na Mtanzania

    Kama wahariri wenyewe ndo hao unategemea nn...
Back
Top Bottom