Mtu unamfunga kwa kosa ambalo hakushitakiwa nalo ? Mbona kama taifa tunazidi kuwa wajinga .
Mfano
Kosa langu ulinishitaki kwa kubaka , linachwa kwenye hukumu then unasema nilikutwa na bangi mfukoni, najua hata jaji mkuu huko atakua anatukana matusi jinsi mahakama jinachezewa, msije shutuka...
Iko hivi taifa linaumizwa na watu wasiozidi 100 vilevile , ukiona mtu anapinga mabadiliko ya katiba ,jua uyu mtu ni mpumbavu, limbukeni , mshamba na hajui Dunia bila kujali ana cheo kipi,
Tuna serikali ya kipumbavu sana , swala la Lissu kwamba unaogopa lissu , au chadema maana yake ccm hawajiamini kwamba wamefanya makubwa ,ccm acheni upumbavu, wajibuni wapinzani wenu kwa hoja sio kuumiza watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.