Loan Officer jaman hasikilizi wanafunzi wenye changamoto za mikopo anamajibu yasio sawa kabisa, mara aseme muda wa kusikiliza wanafunzi umeisha, mara aseme hana utatuzi.
Siku nyingine tunaondoka tumechoka, naomba mfanye uchunguzi kwa kuwauliza wanafunzi au hata kujiunga na magroup ya mikopo...
YAH: WARAKA WA KUWASILISHA CHANGAMOTO NA OMBI LA MAPITIO YA
Mheshimiwa Rais.
Kwa heshima na taadhima, Umoja wa Wawakilishi wa Wanafunzi (Ma-CRs) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa niaba ya wanafunzi tunaowawakilisha kutoka programu, madarasa na vitengo mbalimbali vya Chuo, tunawasilisha...
Good morning UDSoL family hope wote ni wazima na tumeamka salama. ⚖️⚖️
Naomba nitoe ufafanuzi kwenye suala la ongezeko la Direct Cost na msimamo wetu kama UDSoL. Binafsi taarifa ya ongezeko hilo tumeiona jana kama ambavyo kila mmoja wetu ameona kwenye makundi mbalimbali ya whatsapp na social...
Kuna kijana anasoma kwa kutegemea boom tu, hana sapoti ya familia.
BOOM NI LAKI 6.
DIRECT COST 255 K
HOSTEL 150
Bado hajala uyu mtu , hajapata bando, hajapata nauli, hajavaa, hana ela ya field anatunzaga boom kidogo kidogo. WAKUFUNZI WAKIANZA KUPIGWAA ROBA📌
“TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓
Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo.
UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽
Tunaiomba UDSM:
• Itoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.