Recent content by 1Africa54

  1. 1Africa54

    TRA INNOVATION PORTAL

    Usha toboa ila Blockchain ni kipengele kwangu
  2. 1Africa54

    TRA INNOVATION PORTAL

    Habari ambae amefanikiwa kutuma wazo lake kwenye mfumo wa TRA INNOVATION PORTAL naomba anielekeze jinsi ya kutuma wazo
  3. 1Africa54

    Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Ndio nimekuelewa yaani VPN ili iweze ku run lazima uwashe data sasa ina support mtandao gani mfano ha tunnel ilikua Airtel,wire tun ilikua tigo , thunder ilikua Halotel zote zimekua blocked sasa hiyo 👆 UFO ni mtandao gani ina support
  4. 1Africa54

    Naombeni majibu wakulungwa wa kaya

    Uooooooooongoooooooooooooooooo
  5. 1Africa54

    Naombeni majibu wakulungwa wa kaya

    Eeeeeh nipe moyo
  6. 1Africa54

    Mnapozima Internet, Wanaoteseka ni nyie CCM. Watoto wa Kambo tuna VPN🤣

    Nipe connection ya VPN sasa naona zimefungiwa na nakosa taarifa nyingi kwenye social media
  7. 1Africa54

    Naombeni majibu wakulungwa wa kaya

    Eti wajuba tunao daiwa na heslb ivi Kuna msamaha wa deni au ndio majonzi Au Kuna ka upenyo ka kuomba kupunguziwa deni 🤣🤩🙌 Usinikatishe tamaa sasa nambichwa wako utajibu ovyo🤣🔥🤩
  8. 1Africa54

    Mnao tafuta Hela mnazitoa wapi mbona huku sizioni

    Ni Ni kitabu kizuri?
Back
Top Bottom