Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

0 Votes
Nilipokuwa mdogo wazazi wangu hawakuacha kunisisitiza nizingatie masomo kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Wazazi waliamini wakitupeleka shule nzuri na kutupatia elimu bora basi maisha yetu...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Upvote 0
0 Votes
Chanzo: Safari Media VITUO VYA HUDUMA JUMUISHI. Ni namna ya kusogeza huduma karibu na wananchi. Ni mjumuiko wa taasisi/mashirika ya kiserikali na binafsi katika eneo moja ili kutoa huduma kwa...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Upvote 0
0 Votes
Utangulizi Jamii ya watanzania tunaelekea katika mambo yanayobeba mustakali wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. kipindi cha mwaka 2024-2025 tutashiriki mambo makuu matatu ambayo yatabeba...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Upvote 0
0 Votes
Infrastructure in this context will refers on all transportation networks, roads, railways ports, on the other hand, Agriculture includes Domestication, and cultivations of animal and crops...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Upvote 0
0 Votes
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Raisi Mama Samia pamoja na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kwa kuhakikisha Taifa hili linajengeka vyema nakuwa imara kila leo, uku...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Upvote 0
2 Votes
UTANGULIZI: Tanzania inatakiwa kuwa na malengo ya kuwa nchi yenye usawa wa kijinsia na kuheshimu haki za binadamu kwa wote. Moja ya changamoto kubwa ni ukatili wa kijinsia na ndoa za utotoni...
1 Reactions
0 Replies
451 Views
Upvote 2
0 Votes
Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Upvote 0
0 Votes
Malezi Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Upvote 0
19 Votes
UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya...
18 Reactions
4 Replies
483 Views
Upvote 19
0 Votes
JE SIASA MCHEZO MCHAFU? 1. Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Upvote 0
0 Votes
Awali ya yote nipende kutoa pongezi kwa timu mbalimbali za michezo pamoja na wawekezaji wake hapa Tanzania( Simba na Yanga) zimejitaidi kadri ziwezavyo kulitangaza soccer la Tanzania kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Upvote 0
0 Votes
Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Upvote 0
0 Votes
SEKTA YA ELIMU "ELIMU" ni msingi katika maisha ya sasa naya baadae. napenda kuzungumzia kuhusu utoaji wa na ufaulishaji wa shule za serikali haswa za kata na nyinginezo. ili tuweze kuifikia...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Upvote 0
6 Votes
In the heart of East Africa, Tanzania stands at a crossroads. For too long, its justice system has relied on speculation and circumstantial evidence to prosecute suspects, often resulting in...
3 Reactions
0 Replies
711 Views
Upvote 6
0 Votes
UTANGULIZI: Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo...
1 Reactions
0 Replies
964 Views
Upvote 0
0 Votes
Kutokana na kila kiongozi /watumishi wanao teuliwa na viongozi wakuu ,mfano rais kuendeleza ufisadi karibu kila secta. Kutungwe sheria maalumu itakayo tumika kuwa filisi ,kutaifisha mali za...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Upvote 0
0 Votes
SIMBA, YANGA WAMEAMUA KULALA, WAAMKE WAWE MATAJIRI Binafsi nimekuwa mpenzi wa moja wa timu zetu pendwa hapa Tanzania. Nimekuwa mmoja wa wanunuzi na wachangiaji wazuri wa kununua bidhaa pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Upvote 0
1 Vote
Mpango huu wa kina unaonyesha ramani kabambe ya miaka 15 ya kuleta mapinduzi katika sekta ya elimu ya Tanzania, kushughulikia masuala ya kimfumo yenye mizizi mirefu na kulipeleka taifa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Upvote 1
2 Votes
Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana...
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Upvote 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…